1
Matendo 14:15
Neno: Maandiko Matakatifu
“Enyi watu, kwa nini mnafanya mambo haya? Sisi ni wanadamu tu kama ninyi! Tunawaletea habari njema, tukiwaambia kwamba mgeuke mtoke katika mambo haya yasiyofaa, mmwelekee Mungu aliye hai, aliyeziumba mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo.
Linganisha
Chunguza Matendo 14:15
2
Matendo 14:9-10
Alimsikiliza Paulo alipokuwa akihubiri. Paulo alipomtazama akaona ana imani ya kuponywa. Paulo akapaza sauti, “Simama kwa miguu yako!” Mara yule mtu akasimama upesi akaanza kutembea!
Chunguza Matendo 14:9-10
3
Matendo 14:23
Nao baada ya kuwateua wazee katika kila kundi la waumini, kwa kufunga na kuomba wakawakabidhi kwa Bwana Isa waliyemwamini.
Chunguza Matendo 14:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video