“Mwishoni mwa ile miaka saba, mimi Nebukadneza niliinua macho yangu kutazama juu mbinguni na akili zangu zikanirudia. Nilimshukuru Mungu Mkuu na kumheshimu yeye aishiye milele:
Kwa sababu enzi yake ni enzi ya milele,
ufalme wake wadumu kizazi hata kizazi.