1
Isaya 31:1
Biblia Habari Njema
Ole wao wale waendao Misri kuomba msaada, ole wao wanaotegemea farasi, wanaotegemea wingi wa magari yao ya vita, na nguvu za askari wao wapandafarasi, nao hawamtegemei Mtakatifu wa Israeli, wala hawamwombi Mwenyezi-Mungu shauri!
Linganisha
Chunguza Isaya 31:1
2
Isaya 31:2
Mungu ni mwenye busara na huleta maangamizi. Habadilishi tamko lake; ila yuko tayari kuwakabili watu waovu kadhalika na wasaidizi wa watendao mabaya.
Chunguza Isaya 31:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video