1
Methali 25:28
Biblia Habari Njema
Mtu asiyeweza kuzuia hasira yake, ni kama mji usio na ulinzi unaposhambuliwa.
Linganisha
Chunguza Methali 25:28
2
Methali 25:21-22
Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe maji ya kunywa. Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza.
Chunguza Methali 25:21-22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video