1
Methali 24:3
Biblia Habari Njema
Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara.
Linganisha
Chunguza Methali 24:3
2
Methali 24:17
Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake
Chunguza Methali 24:17
3
Methali 24:33-34
Lala tu kidogo; sinzia tu kidogo! Kunja mikono yako tu upumzike! Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.
Chunguza Methali 24:33-34
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video