1
Zaburi 118:24
Biblia Habari Njema
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi.
Linganisha
Chunguza Zaburi 118:24
2
Zaburi 118:6
Mwenyezi-Mungu yuko nami, siogopi kitu; binadamu ataweza kunifanya nini?
Chunguza Zaburi 118:6
3
Zaburi 118:8
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu.
Chunguza Zaburi 118:8
4
Zaburi 118:5
Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.
Chunguza Zaburi 118:5
5
Zaburi 118:29
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Chunguza Zaburi 118:29
6
Zaburi 118:1
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Chunguza Zaburi 118:1
7
Zaburi 118:14
Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.
Chunguza Zaburi 118:14
8
Zaburi 118:9
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.
Chunguza Zaburi 118:9
9
Zaburi 118:22
Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu la msingi.
Chunguza Zaburi 118:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video