1
Zaburi 136:1
Biblia Habari Njema
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Linganisha
Chunguza Zaburi 136:1
2
Zaburi 136:26
Mshukuruni Mungu wa mbinguni; kwa maana fadhili zake zadumu milele!
Chunguza Zaburi 136:26
3
Zaburi 136:2
Mshukuruni Mungu wa miungu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Chunguza Zaburi 136:2
4
Zaburi 136:3
Mshukuruni Bwana wa mabwana; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Chunguza Zaburi 136:3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video