1
Zaburi 17:8
Biblia Habari Njema
Unilinde kama mboni ya jicho; unifiche kivulini mwa mabawa yako
Linganisha
Chunguza Zaburi 17:8
2
Zaburi 17:15
Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona.
Chunguza Zaburi 17:15
3
Zaburi 17:6-7
Nakuita, ee Mungu, kwani wewe wanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu. Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Chunguza Zaburi 17:6-7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video