Zaburi 17:6-7
Zaburi 17:6-7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, nitegee sikio lako na usikie ombi langu. Uonyeshe ajabu ya upendo wako mkuu, wewe uokoaye kwa mkono wako wa kuume wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakuita, ee Mungu, kwani wewe wanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu. Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Shirikisha
Soma Zaburi 17