1
Wimbo Ulio Bora 8:6
Biblia Habari Njema
Nipige kama mhuri moyoni mwako, naam, kama mhuri mikononi mwako. Maana pendo lina nguvu kama kifo, wivu nao ni mkatili kama kaburi. Mlipuko wake ni kama mlipuko wa moto, huwaka kama mwali wa moto.
Linganisha
Chunguza Wimbo Ulio Bora 8:6
2
Wimbo Ulio Bora 8:7
Maji mengi hayawezi kamwe kulizima, mafuriko hayawezi kulizamisha. Mtu akijaribu kununua pendo, akalitolea mali yake yote, atakachopata ni dharau tupu.
Chunguza Wimbo Ulio Bora 8:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video