1 Wakorintho 16:3-4
1 Wakorintho 16:3-4 NEN
Kwa hiyo nitakapowasili, nitawapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili kuwatuma wapeleke zawadi zenu huko Yerusalemu. Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.