Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 5:11

1 Wakorintho 5:11 NEN

Lakini sasa nawaandikia kwamba msishirikiane na mtu yeyote anayejiita ndugu, hali akiwa ni mzinzi, au mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu au msingiziaji, mlevi au mdhalimu. Mtu kama huyo hata msile naye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 5:11