1 Wakorintho 5:11
1 Wakorintho 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilichoandika ni hiki: Msishirikiane na ndugu Mkristo aliye mzinzi, mchoyo, mwenye kuabudu sanamu, mchongezi, mlevi na mlaghai. Mtu wa namna hiyo, hata kula msile naye.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 51 Wakorintho 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, mambo yalivyo, niliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang'anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 51 Wakorintho 5:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini, mambo yalivyo, naliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang’anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 5