Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 1:5-6

1 Yohana 1:5-6 NEN

Huu ndio ujumbe tuliosikia kutoka kwake na kuwatangazia ninyi: kwamba Mungu ni nuru na ndani yake hamna giza lolote. Kama tukisema kwamba twashirikiana naye huku tukienenda gizani, twasema uongo, wala hatutendi lililo kweli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 1:5-6