Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 1:5-6

1 Yoh 1:5-6 SUV

Na hii ndiyo habari tuliyoisikia kwake, na kuihubiri kwenu, ya kwamba Mungu ni nuru, wala giza lo lote hamna ndani yake. Tukisema ya kwamba twashirikiana naye, tena tukienenda gizani, twasema uongo, wala hatuifanyi iliyo kweli

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 1:5-6