Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 2:1

1 Yohana 2:1 NEN

Watoto wangu wapendwa, nawaandikia haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu yeyote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi kwa Baba: ndiye Yesu Kristo, Mwenye Haki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 2:1