Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:20

1 Wafalme 19:20 NEN

Kisha Elisha akawaacha maksai wake, akamkimbilia Eliya, akamwambia, “Niruhusu nikawabusu baba yangu na mama yangu, halafu nitafuatana nawe.” Eliya akajibu, “Rudi zako, kwani nimekutendea nini?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:20