1 Wafalme 19:20
1 Wafalme 19:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye akawaacha ng’ombe, akamfuata Eliya mbio, akasema, Nipe ruhusa, nakuomba, nimbusu baba yangu na mama yangu, kisha mimi nitakufuata. Akamwambia, Enenda, urudi; ni nini niliyokutendea?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo, Elisha akawaacha ng'ombe wake, akamfuata Elia mbio na kumwambia, “Niruhusu kwanza niende kumpa baba yangu na mama yangu busu la kwaheri, kisha nikufuate.” Elia akamjibu, “Nenda! Kwani nimekuzuia?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19