Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 1:3-4

1 Petro 1:3-4 NEN

Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa rehema zake kuu ametuzaa sisi mara ya pili katika tumaini lenye uzima kupitia kwa kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu, ili tuupate urithi usioharibika, usio na uchafu, ule usionyauka: uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 1:3-4