Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 3:8-9

1 Petro 3:8-9 NEN

Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu. Msilipe ovu kwa ovu, au jeuri kwa jeuri, bali barikini, kwa maana hili ndilo mliloitiwa ili mpate kurithi baraka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 3:8-9