Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 1:2-3

1 Wathesalonike 1:2-3 NEN

Siku zote tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye maombi yetu daima. Tunaikumbuka daima kazi yenu ya imani mbele za Mungu aliye Baba yetu, taabu yenu katika upendo na saburi yenu ya tumaini katika Bwana wetu Yesu Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 1:2-3