Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 2:5-6

1 Timotheo 2:5-6 NEN

Kwa maana kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, yaani mwanadamu Kristo Yesu, aliyejitoa mwenyewe kuwa fidia kwa ajili ya wanadamu wote: jambo hili lilishuhudiwa kwa wakati wake ufaao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 2:5-6