Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 3:14-16

1 Timotheo 3:14-16 NENO

Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili, nikikawia, utajua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ndiyo jumuiya ya waumini ya Mungu aliye hai, iliyo nguzo na msingi wa kweli. Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: Alidhihirishwa katika mwili, akathibitishwa kuwa na haki katika Roho wa Mungu, akaonekana na malaika, akahubiriwa miongoni mwa mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, akachukuliwa juu katika utukufu.