Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:3-4

2 Wakorintho 1:3-4 NEN

Ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa huruma na Mungu wa faraja yote. Yeye hutufariji katika taabu zetu, ili tuweze kuwafariji walio katika taabu yoyote kwa faraja ambayo sisi wenyewe tumepokea kutoka kwa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 1:3-4