Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 9:10-11

2 Wakorintho 9:10-11 NEN

Yeye ampaye mpanzi mbegu kwa ajili ya kupanda na mkate kuwa chakula, atawapa na kuzizidisha mbegu zenu za kupanda na kuongeza mavuno ya haki yenu. Mtatajirishwa kwa kila namna ili mpate kuwa wakarimu kila wakati, na kupitia kwetu, ukarimu wenu utamletea Mungu shukrani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 9:10-11