Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 19:15

2 Wafalme 19:15 NEN

Naye Hezekia akamwomba BWANA akisema: “Ee BWANA, Mungu wa Israeli, uketiye juu ya kiti cha enzi kati ya makerubi, wewe peke yako ndiwe Mungu juu ya falme zote za dunia. Wewe umeumba mbingu na nchi.