2 Wafalme 3:17
2 Wafalme 3:17 NEN
Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo BWANA: Hamtaona upepo wala mvua, lakini bonde hili litajaa maji, nanyi pamoja na ngʼombe wenu na wanyama wenu wengine mtakunywa.