Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:44-45

Matendo 2:44-45 NEN

Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika. Waliuza mali zao na vitu walivyokuwa navyo, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:44-45