Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 23:11

Matendo 23:11 NEN

Usiku uliofuata, Bwana akasimama karibu naye akamwambia, “Jipe moyo! Kama vile ulivyonishuhudia hapa Yerusalemu, hivyo imekupasa kunishuhudia huko Rumi pia.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 23:11