Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:16-17

Wakolosai 2:16-17 NEN

Kwa hiyo mtu asiwahukumu ninyi kuhusu vyakula au vinywaji, au kuhusu kuadhimisha sikukuu za dini, au Sikukuu za Mwezi Mwandamo au siku ya Sabato. Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 2:16-17