Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 11:31-32

Danieli 11:31-32 NEN

“Majeshi yake yenye silaha yatainuka ili kunajisi ngome ya Hekalu, na kuondolea mbali sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Ndipo watalisimamisha chukizo la uharibifu lisababishalo ukiwa. Kwa udanganyifu atapotosha wale walionajisi agano, lakini watu wanaomjua Mungu wao watampinga kwa uthabiti.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 11:31-32