Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 16:16

Kumbukumbu 16:16 NEN

Wanaume wenu wote lazima wajitokeze mara tatu kwa mwaka mbele za BWANA Mungu wenu mahali atakapopachagua: kwa ajili ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, Sikukuu ya Majuma, na Sikukuu ya Vibanda. Hakuna mtu atakayejitokeza mbele za BWANA mikono mitupu