Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 6:4-5

Kumbukumbu 6:4-5 NEN

Sikia, ee Israeli: BWANA Mungu wako, BWANA ni mmoja. Mpende BWANA Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.