Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 36:3

Kutoka 36:3 NEN

Wakapokea kutoka kwa Mose sadaka zote ambazo Waisraeli walikuwa wameleta ili kuifanya kazi ya ujenzi wa Mahali Patakatifu. Nao watu wakaendelea kuleta sadaka za hiari kila asubuhi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 36:3