Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 4:11-12

Kutoka 4:11-12 NEN

BWANA akamwambia, “Ni nani aliyempa mwanadamu kinywa? Ni nani aliyemfanya mtu kuwa kiziwi au bubu? Ni nani anayempa mtu kuona au upofu? Je, si mimi, BWANA? Sasa nenda, nitakusaidia kusema, nami nitakufundisha jambo la kusema.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 4:11-12