Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 6:8-9

Kutoka 6:8-9 NEN

Nami nitawaleta mpaka nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kumpa Abrahamu, Isaki na Yakobo. Nitawapa iwe milki yenu. Mimi ndimi BWANA.’ ” Mose akawaarifu Waisraeli jambo hili, lakini hawakumsikiliza kwa sababu ya maumivu makuu ya moyoni na utumwa wa kikatili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 6:8-9