Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 5:19-21

Wagalatia 5:19-21 NEN

Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi, kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi Ufalme wa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 5:19-21