Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 5:19-21

Gal 5:19-21 SUV

Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Gal 5:19-21