Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 1:9-10

Mwanzo 1:9-10 NEN

Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo. Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 1:9-10