Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:1-4

Mwanzo 2:1-4 NEN

Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo. Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote. Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya. Haya ndiyo maelezo ya mbingu na dunia wakati zilipoumbwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:1-4