Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 2:1-4

Mwa 2:1-4 SUV

Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote. Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya. Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya. Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa. Siku ile BWANA Mungu alipoziumba mbingu na nchi

Soma Mwa 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 2:1-4