Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 22:17-18

Mwanzo 22:17-18 NEN

hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao, na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 22:17-18