Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 27:36

Mwanzo 27:36 NEN

Esau akasema, “Si ndiyo sababu anaitwa Yakobo? Amenidanganya mara hizi mbili: Alichukua haki yangu ya kuzaliwa na sasa amechukua baraka yangu!” Kisha akauliza, “Hukubakiza hata baraka moja kwa ajili yangu?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 27:36