Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 42:7

Mwanzo 42:7 NEN

Mara Yosefu alipowaona ndugu zake, akawatambua, lakini akajifanya mgeni na kuzungumza nao kwa ukali, akiwauliza, “Ninyi mnatoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka katika nchi ya Kanaani kuja kununua chakula.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 42:7