Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Habakuki 3:17-18

Habakuki 3:17-18 NEN

Ingawa mtini hauchanui maua na hakuna zabibu juu ya mizabibu, ingawaje mzeituni hauzai, na hata mashamba hayatoi chakula, iwapo hakuna kondoo katika banda, wala ngʼombe katika zizi, hata hivyo nitashangilia katika BWANA, nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu.