Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 9:28

Waebrania 9:28 NEN

vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 9:28