Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 1:2

Hosea 1:2 NEN

Wakati BWANA alipoanza kuzungumza kupitia Hosea, BWANA alimwambia, “Nenda ukajitwalie mwanamke wa uzinzi na watoto wa uzinzi, kwa sababu nchi ina hatia ya uzinzi wa kupindukia kwa kumwacha BWANA.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 1:2