Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 3:5

Hosea 3:5 NEN

Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta BWANA Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa BWANA na kwa baraka zake katika siku za mwisho.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 3:5