Hosea 3:5
Hosea 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
baada ya hayo wana wa Israeli watarejea, na kumtafuta BWANA, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao; nao watamwendea BWANA na wema wake kwa kicho siku za mwisho.
Shirikisha
Soma Hosea 3Hosea 3:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta BWANA Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa BWANA na kwa baraka zake katika siku za mwisho.
Shirikisha
Soma Hosea 3