Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 38:5

Isaya 38:5 NEN

“Nenda ukamwambie Hezekia, ‘Hili ndilo asemalo BWANA, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako. Nitakuongezea miaka kumi na mitano katika maisha yako.